Blog

Barua ya Otara ya George

Salamu mzee Leslie, Asante kwa msaada wote uliyotoa ambao umewawezesha waumini hapa kukusanyika na kusherehekea sikukuu mwaka huu. Mungu awabariki wale wote waliochangia kwa msaada huu. Nilianza kujiunga na Waumini wa Isiolo na Meru Maua kwa Isolo Mwangaza ambapo wanaendelea kumadhimisha Sikukuu. Nilijiunga na waumini wa Nairobi kwenye kituo cha Embakasi ambako nilikaa siku moja… Continue reading Barua ya Otara ya George